Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya mvua kubwa itakayonyesha leo Ijumaa Januari 15, 2021.

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa itakayonyesha leo Ijumaa Januari 15, 2021 huku siku zinazofuata zikitarajiwa kuwa shwari hadi Januari 18. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo jana imesema kuwa utabiri huo wa siku tano kuanzia leo unaonyesha kuwepo kwa mvua kubwa katika baadhi